Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "paz"

47 resultados encontrados

  1. Levítico 24

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 24
    Mostrando versículo 3 de 23

    3Nje ya pazia la Ushuhuda ndani ya Hema la Kukutania, Aroni ataziwasha taa mbele za Bwana kuanzia jioni hadi asubuhi bila kuzima. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo.

  2. 2 Crônicas 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 14 de 17

    14Akatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na za kitani safi, na kutarizi makerubi juu yake.

  3. Números 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 25 de 51

    25Katika Hema la Kukutania, Wagershoni walikuwa na wajibu wa kutunza Maskani na hema, vifuniko vyake, pazia katika mlango wa kuingilia ndani ya Hema la Kukutania,

  4. Hebreus 10

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 10
    Mostrando versículo 20 de 39

    20kwa njia mpya iliyo hai tuliyofunguliwa kwa ajili yetu kupitia kwenye lile pazia, yaani, mwili wake,

  5. Lamentações 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 65 de 66

    65Weka pazia juu ya mioyo yao,laana yako na iwe juu yao!

  6. 2 Reis 16

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículo 18 de 20

    18Kwa heshima ya mfalme wa Ashuru, akaliondoa pia pazia la Sabato lililokuwa limewekwa ndani ya Hekalu, na akaondoa ile njia ya kifalme ya kuingia kwenye Hekalu la Bwana.

  7. Números 4

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículo 5 de 49

    5Wakati kambi inapohamishwa, Aroni na wanawe wataingia ndani na kushusha lile pazia la kuzuilia na kufunika nalo Sanduku la Ushuhuda.

  8. Marcos 15

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 15
    Mostrando versículo 34 de 47

    34Mnamo saa tisa, Yesu akapaza sauti, akalia, "Eloi, Eloi, lama sabakthani?" (maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?")

  9. Lucas 23

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 23
    Mostrando versículo 45 de 56

    45kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.

  10. Mateus 27

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 46 de 66

    46Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, "Eloi, Eloi, lama sabakthani?" (maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?")

  11. Isaías 54

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 54
    Mostrando versículo 1 de 17

    1"Imba, ewe mwanamke tasa,wewe ambaye kamwe hukuzaa mtoto;paza sauti kwa kuimba, piga kelele kwa furaha,wewe ambaye kamwe hukupata utungu;kwa sababu watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengikuliko wa mwanamke mwenye mume,"asema Bwana.

  12. Êxodo 40

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 40
    Mostrando versículo 3 de 38

    3Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.

  13. Levítico 21

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 21
    Mostrando versículo 23 de 24

    23Lakini kwa sababu ya kilema chake, kamwe asikaribie karibu na pazia wala kukaribia madhabahu, asije akanajisi mahali patakatifu pangu. Mimi ndimi Bwana, niwafanyaye watakatifu.’ "

  14. Hebreus 9

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 9
    Mostrando versículo 3 de 28

    3Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,

  15. Números 18

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 18
    Mostrando versículo 7 de 32

    7Lakini ni wewe tu na wanao mtakaoweza kutumika kama makuhani kuhusiana na kila kitu kwenye madhabahu na ndani ya pazia. Ninawapa utumishi wa ukuhani kama zawadi. Mtu mwingine yeyote atakayekaribia mahali patakatifu ni lazima auawe."

  16. Isaías 58

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 58
    Mostrando versículo 1 de 14

    1"Piga kelele, usizuie.Paza sauti yako kama tarumbeta.Watangazieni watu wangu uasi wao,na kwa nyumba ya Yakobo dhambi zao.

  17. Êxodo 36

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 36
    Mostrando versículo 8 de 38

    8Watu wote wenye ustadi miongoni mwa wafanyakazi wote wakatengeneza maskani kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi akatirizi makerubi kwenye mapazia hayo.

  18. Levítico 16

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículo 2 de 34

    2Bwana akamwambia Mose: "Mwambie ndugu yako Aroni asije wakati wowote atakavyo yeye ndani ya Patakatifu pa Patakatifu, nyuma ya pazia pale mbele ya kiti cha rehema kile kilichoko juu ya Sanduku la Agano, la sivyo atakufa, kwa sababu huwa ninatokea ndani ya wingu juu ya kile kiti cha rehema.

  19. Isaías 32

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 32
    Mostrando versículo 14 de 20

    14Ngome itaachwa,mji wenye kelele nyingi utahamwa,ngome ndani ya mji na mnara wa ulinzi vitakuwa ukiwa milele,mahali pazuri pa punda na malisho ya makundi ya kondoo,

  20. Êxodo 27

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 9 de 21

    9"Tengeneza ua kwa ajili ya Hema la Kukutania. Upande wa kusini utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja,27:9 Dhiraa 100 ni sawa na mita 45. na utakuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo