Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "paz"

47 resultados encontrados

  1. Colossenses 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 2–24 de 25

    2Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani.

    15Amani ya Kristo na itawale mioyoni mwenu, kwa kuwa ninyi kama viungo vya mwili mmoja mmeitiwa amani. Tena kuweni watu wa shukrani.

    24kwa kuwa mnajua kwamba mtapokea urithi wenu kutoka kwa Bwana ukiwa thawabu yenu. Ni Bwana Yesu Kristo mnayemtumikia.

  2. 1 Pedro 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 4–14 de 14

    4Naye Mchungaji Mkuu atakapodhihirishwa, mtapokea taji ya utukufu isiyoharibika.

    11Uweza una yeye milele na milele. Amen.

    14Salimianeni kwa busu la upendo.Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.

  3. Salmos 128

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 128
    Mostrando versículos 1–6 de 6

    1Heri ni wale wote wamchao Bwana,waendao katika njia zake.

    4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwamtu amchaye Bwana.

    6nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako.Amani iwe juu ya Israeli.

  4. Romanos 15

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 15
    Mostrando versículos 5–33 de 33

    5Mungu atoaye saburi na faraja, awajalie ninyi roho ya umoja miongoni mwenu mnapomfuata Kristo Yesu,

    6ili kwa moyo mmoja mpate kumtukuza Mungu aliye Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.

    33Mungu wa amani na awe pamoja nanyi nyote. Amen.

  5. Êxodo 16

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículos 11–36 de 36

    11Bwana akamwambia Mose,

    16Hivi ndivyo Bwana alivyoamuru: ‘Kila mmoja akusanye kiasi anachohitaji. Chukueni pishi16:16 Pishi ni kipimo cha ujazo, kwa Kiebrania ni omeri, ambacho ni sawa na kilo mbili. moja kwa kila mtu mliye naye katika hema yenu.’ "

    36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.16:36 Efa moja ni sawa na kilo 22.)

  6. Levítico 7

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículos 11–29 de 38

    11" ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya amani ambayo mtu aweza kuileta kwa Bwana:

    13Pamoja na sadaka hii ya amani ya shukrani ataleta sadaka ya maandazi yaliyotengenezwa kwa chachu.

    29"Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa Bwana ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa Bwana.

  7. Neemias 10

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 10
    Mostrando versículos 3–25 de 39

    3Pashuri, Amaria, Malkiya,

    13Hodia, Bani na Beninu.

    25Rehumu, Hashabna, Maaseya,

  8. Isaías 12

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículo 6 de 6

    6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni,kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu."

  9. Salmos 16

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículo 6 de 11

    6Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri,hakika nimepata urithi mzuri.

  10. Oséias 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 8 de 15

    8"Pigeni tarumbeta huko Gibea,baragumu huko Rama.Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni,5:8 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka.ongoza, ee Benyamini.

  11. Isaías 52

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 52
    Mostrando versículo 8 de 15

    8Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao,pamoja wanapaza sauti zao kwa furaha.Wakati Bwana atakaporejea Sayuni,wataliona kwa macho yao wenyewe.

  12. Êxodo 26

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 26
    Mostrando versículo 1 de 37

    1"Tengeneza maskani kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi atatarizi makerubi kwenye mapazia hayo.

  13. Oséias 9

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 9
    Mostrando versículo 13 de 17

    13Nimemwona Efraimu, kama Tiro,aliyeoteshwa mahali pazuri.Lakini Efraimu wataletawatoto wao kwa mchinjaji."

  14. Sofonias 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 14 de 20

    14Imba, ee Binti Sayuni;paza sauti, ee Israeli!Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote,ee Binti Yerusalemu!

  15. Tiago 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 3 de 26

    3nanyi mkampa heshima yule aliyevaa mavazi mazuri na kumwambia, "Keti hapa mahali pazuri," lakini yule maskini mkamwambia, "Wewe simama pale," au "Keti hapa sakafuni karibu na miguu yangu,"

  16. Gálatas 4

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículo 27 de 31

    27Kwa maana imeandikwa:"Furahi, ewe mwanamke tasa,wewe usiyezaa;paza sauti, na kuimba kwa furaha,wewe usiyepatwa na utungu wa kuzaa;kwa maana watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengikuliko wa mwanamke mwenye mume."

  17. 2 Reis 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 12 de 25

    12Elisha aliona hili, naye akapaza sauti, "Baba yangu! Baba yangu! Magari ya Israeli na wapanda farasi wake!" Naye Elisha hakumwona tena. Kisha akazishika nguo zake mwenyewe na kuzirarua.

  18. Gênesis 49

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 49
    Mostrando versículo 15 de 33

    15Aonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzikana jinsi nchi yake inavyopendeza,atainamisha bega lake kwenye mzigona kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu.

  19. Jó 22

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 22
    Mostrando versículo 14 de 30

    14Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisiatembeapo juu ya anga la dunia.

  20. Hebreus 6

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 6
    Mostrando versículo 19 de 20

    19Tunalo tumaini hili kama nanga ya roho iliyo imara na thabiti. Tumaini hili huingia katika sehemu takatifu iliyopo nyuma ya pazia,

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo