Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "salvação"

32 resultados encontrados

  1. Êxodo 21

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 21
    Mostrando versículos 24–27 de 36

    24jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,

    25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, mchubuko kwa mchubuko.

    27Kama akimvunja jino mtumwa wa kiume au wa kike, ni lazima amwache huru huyo mtumwa kwa kufidia hilo jino.

  2. 2 Coríntios 13

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 12–14 de 14

    12Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.

    13Watakatifu wote wanawasalimu.

    14Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen.

  3. Cânticos 1

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículos 1–11 de 17

    1Wimbo ulio bora wa Solomoni.Mpendwa

    10Mashavu yako yanapendeza yakiwa na vipuli,shingo yako ikiwa na mikufu ya vito.

    11Tutakufanyia vipuli vya dhahabu,vyenye kupambwa kwa fedha.Mpendwa

  4. Romanos 7

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículos 19–25 de 25

    19Sitendi lile jema nitakalo kutenda, bali lile baya nisilolitaka, ndilo nitendalo.

    24Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?

    25Ashukuriwe Mungu kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu! Hivyo basi, mimi mwenyewe kwa akili zangu ni mtumwa wa sheria ya Mungu, lakini katika asili ya dhambi ni mtumwa wa sheria ya dhambi.

  5. Josué 18

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 18
    Mostrando versículos 22–27 de 28

    22Beth-Araba, Semaraimu, Betheli,

    23Avimu, Para na Ofra,

    27Rekemu, Irpeeli, Tarala,

  6. Números 31

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 31
    Mostrando versículos 22–45 de 54

    22Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati, risasi,

    44ngʼombe 36,000,

    45punda 30,500,

  7. Salmos 80

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 80
    Mostrando versículos 2–14 de 19

    2mbele ya Efraimu, Benyamini na Manase.Uamshe nguvu zako,uje utuokoe.

    3Ee Mungu, uturejeshe,utuangazie uso wako,ili tuweze kuokolewa.

    14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote!Tazama chini kutoka mbinguni na uone!Linda mzabibu huu,

  8. 1 Crônicas 14

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 14
    Mostrando versículos 5–7 de 17

    5Ibihari, Elishua, Elpeleti,

    6Noga, Nefegi, Yafia,

    7Elishama, Beeliada na Elifeleti.

  9. Josué 15

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 15
    Mostrando versículos 26–40 de 63

    26Amamu, Shema, Molada,

    29Baala, Iyimu, Esemu,

    40Kaboni, Lamasi, Kitlishi,

  10. Salmos 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 1–8 de 8

    1Ee Bwana, tazama adui zangu walivyo wengi!Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu!

    7Ee Bwana, amka!Niokoe, Ee Mungu wangu!Wapige adui zangu wote kwenye taya,vunja meno ya waovu.

    8Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana.Baraka yako na iwe juu ya watu wako.

  11. Salmos 23

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 23
    Mostrando versículos 1–3 de 6

    1Bwana ndiye mchungaji wangu,sitapungukiwa na kitu.

    2Hunilaza katika malishoya majani mabichi,kando ya maji matulivu huniongoza,

    3hunihuisha nafsi yangu.Huniongoza katika njia za hakikwa ajili ya jina lake.

  12. Salmos 22

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 22
    Mostrando versículos 1–21 de 31

    1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa?Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu?

    12Mafahali wengi wamenizunguka,mafahali wa Bashani wenye nguvuwamenizingira.

    21Niokoe kutoka kinywani mwa simba,niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo