Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "salvação"

54 resultados encontrados

  1. 1 Pedro 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 4–14 de 14

    4Naye Mchungaji Mkuu atakapodhihirishwa, mtapokea taji ya utukufu isiyoharibika.

    11Uweza una yeye milele na milele. Amen.

    14Salimianeni kwa busu la upendo.Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.

  2. Atos 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículos 21–47 de 47

    21Na kila mtu atakayeliitiajina la Bwana, ataokolewa.’

    28Umenionyesha njia za uzima,utanijaza na furaha mbele zako.’

    47wakimsifu Mungu na kuwapendeza watu wote. Kila siku Bwana akaliongeza kanisa wale waliokuwa wakiokolewa.

  3. Deuteronômio 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 17–19 de 33

    17Usiue.

    18Usizini.

    19Usiibe.

  4. Atos 22

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 22
    Mostrando versículos 7–16 de 30

    7Nikaanguka chini, nikasikia sauti ikiniambia, ‘Sauli, Sauli! Mbona unanitesa?’

    15Kwa kuwa utakuwa shahidi wake kwa watu kuhusu kile ulichokiona na kukisikia.

    16Sasa basi, mbona unakawia? Inuka, ukabatizwe na dhambi zako zikasafishwe, ukiliita Jina lake.’

  5. Gálatas 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 1–27 de 29

    1Ninyi Wagalatia wajinga! Ni nani aliyewaroga? Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele yenu kwamba amesulubiwa.

    21Je basi, sheria inapingana na ahadi za Mungu? La hasha! Kwa maana kama sheria iliyotolewa ingeweza kuwapa watu uzima, basi haki ingepatikana kwa njia ya sheria.

    27Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo.

  6. Salmos 33

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 33
    Mostrando versículos 17–21 de 22

    17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu,licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa.

    19ili awaokoe na mauti,na kuwahifadhi wakati wa njaa.

    21Mioyo yetu humshangilia,kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.

  7. Romanos 16

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículos 16–24 de 27

    16Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.Makanisa yote ya Kristo yanawasalimu.

    20Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi.Neema ya Bwana wetu Yesu iwe nanyi. Amen.

    24Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.]

  8. Salmos 150

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 150
    Mostrando versículos 1–5 de 6

    1Msifuni Bwana.Msifuni Mungu katika patakatifu pake,msifuni katika mbingu zake kuu.

    4msifuni kwa matari na kucheza,msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,

    5msifuni kwa matoazi yaliayo,msifuni kwa matoazi yavumayo sana.

  9. 2 Tessalonicenses 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 2–18 de 18

    2Ombeni pia ili tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si wote wanaoamini.

    8wala hatukula chakula cha mtu yeyote pasipo kukilipia. Badala yake tulifanya kazi kwa bidii usiku na mchana, ili tusimlemee mtu yeyote miongoni mwenu.

    18Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.

  10. 2 Pedro 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 1–18 de 18

    1Wapenzi, huu ndio waraka wangu wa pili ninaowaandikia. Katika nyaraka hizi mbili ninajaribu kuziamsha nia zenu safi kwa mawazo makamilifu.

    11Kwa kuwa vitu vyote vitaharibiwa namna hii, je, ninyi imewapasa kuwa watu wa namna gani? Inawapasa kuishi maisha matakatifu na ya kumcha Mungu,

    18Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na milele! Amen.

  11. Êxodo 20

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 20
    Mostrando versículos 13–15 de 26

    13Usiue.

    14Usizini.

    15Usiibe.

  12. 1 Crônicas 4

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 29–35 de 43

    29Bilha, Esemu, Toladi,

    30Bethueli, Horma, Siklagi,

    35Yoeli, Yehu mwana wa Yoshibia, mwana wa Seraya, mwana wa Asieli.

  13. Josué 19

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículos 20–37 de 51

    20Rabithi, Kishioni, Ebesi,

    21Remethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi.

    37Kedeshi, Edrei, na En-Hasori,

  14. 1 Tessalonicenses 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 17–28 de 28

    17ombeni bila kukoma;

    23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo.

    28Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. Amen.

  15. Filipenses 4

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 5–23 de 23

    5Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.

    21Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.

    23Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.

  16. Romanos 7

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículos 19–25 de 25

    19Sitendi lile jema nitakalo kutenda, bali lile baya nisilolitaka, ndilo nitendalo.

    24Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?

    25Ashukuriwe Mungu kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu! Hivyo basi, mimi mwenyewe kwa akili zangu ni mtumwa wa sheria ya Mungu, lakini katika asili ya dhambi ni mtumwa wa sheria ya dhambi.

  17. Neemias 10

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 10
    Mostrando versículos 2–25 de 39

    2Seraya, Azaria, Yeremia,

    24Haloheshi, Pilha, Shobeki,

    25Rehumu, Hashabna, Maaseya,

  18. 2 Coríntios 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículos 11–16 de 17

    11ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatuachi kuzijua hila zake.

    15Kwa maana sisi kwa Mungu ni harufu nzuri ya manukato ya Kristo miongoni mwa wale wanaookolewa na kwa wale wanaopotea.

    16Kwa wale wanaopotea, sisi ni harufu ya mauti iletayo mauti; lakini kwa wale wanaookolewa, sisi ni harufu nzuri iletayo uzima. Ni nani awezaye mambo hayo?

  19. Tito 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 4–15 de 15

    4Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa,

    5alituokoa, si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyotenda, bali kwa sababu ya rehema zake. Alituokoa kwa kutuosha kwa kuzaliwa mara ya pili na kwa kufanywa wapya kwa njia ya Roho Mtakatifu,

    15Wote walio pamoja nami wanakusalimu. Wasalimu wale wanaotupenda katika imani.Neema iwe nanyi nyote. Amen.

  20. 1 João 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 4–21 de 21

    4Kwa maana kila aliyezaliwa na Mungu huushinda ulimwengu. Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, yaani, hiyo imani yetu.

    6Huyu ndiye alikuja kwa maji na damu, yaani, Yesu Kristo. Hakuja kwa maji peke yake, bali kwa maji na damu. Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.

    21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo