11Huwainua juu wanyonge,nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama.
15Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao;huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu.
19Kutoka majanga sita atakuokoa;naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe.