Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

126 resultados encontrados

  1. Lucas 19

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículo 10 de 48

    10Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea."

  2. Neemias 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 4 de 19

    4Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, "Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.

  3. 1 Pedro 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 2 de 14

    2lichungeni kundi la Mungu mlilokabidhiwa, mkitumika kama waangalizi, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari, kama Mungu anavyowataka mwe; si kwa tamaa ya fedha, bali mlio na bidii katika kutumika.

  4. Naum 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 9 de 13

    9Chukueni nyara za fedha!Chukueni nyara za dhahabu!Wingi wake hauna mwisho,utajiri kutoka hazina zake zote!

  5. Isaías 50

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 50
    Mostrando versículo 6 de 11

    6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao,mashavu yangu wale wangʼoao ndevu zangu;sikuuficha uso wangu kutokana na fedhehana kutemewa mate.

  6. Provérbios 19

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículo 26 de 29

    26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yakeni mwana aletaye aibu na fedheha.

  7. Eclesiastes 12

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículo 6 de 14

    6Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha,au bakuli la dhahabu halijavunjika;kabla mtungi kuvunjika kwenye chemchemi,au gurudumu kuvunjika kisimani,

  8. 2 Samuel 8

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 10 de 18

    10akamtuma mwanawe Yoramu kwa Mfalme Daudi kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Hadadezeri, kwa kuwa Hadadezeri alikuwa amepigana vita na Tou. Yoramu akamletea Daudi vyombo vya fedha, dhahabu na shaba.

  9. 2 Reis 22

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 22
    Mostrando versículo 4 de 20

    4"Panda uende kwa Hilkia, kuhani mkuu, umwambie ahesabu zile fedha ambazo zimeletwa katika Hekalu la Bwana, ambazo mabawabu wamekusanya kutoka kwa watu.

  10. Sofonias 1

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 11 de 18

    11Ombolezeni, ninyi mnaoishi katika eneo la sokoni;wafanyabiashara wenu wote wameangamizwa,wote ambao wanafanya biashara ya fedhawataangamizwa.

  11. 2 Crônicas 16

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículo 2 de 14

    2Ndipo Asa akachukua fedha na dhahabu kutoka hazina ya Hekalu la Bwana na kutoka jumba lake mwenyewe la kifalme na kumpelekea Ben-Hadadi mfalme wa Aramu, ambaye alikuwa anatawala huko Dameski.

  12. 1 Reis 10

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 10
    Mostrando versículo 21 de 29

    21Vikombe vyote vya Mfalme Solomoni vya kunywea vilikuwa vya dhahabu na vyombo vyote vya nyumbani katika Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu safi. Hakukuwa na kitu kilichotengenezwa kwa fedha, kwa sababu fedha ilionekana ya thamani ndogo siku za Solomoni.

  13. 2 Timóteo 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 2 de 17

    2Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kumkufuru Mungu, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio watakatifu,

  14. Eclesiastes 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 10 de 20

    10Yeyote apendaye fedha kamwehatosheki na fedha;yeyote apendaye utajiri kamwehatosheki na kipato chake.Hili nalo pia ni ubatili.

  15. 1 Timóteo 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 3 de 16

    3asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha.

  16. Esdras 7

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 15 de 28

    15Zaidi ya hayo, uchukue pamoja nawe fedha na dhahabu ambazo mfalme na washauri wake wamempa Mungu wa Israeli kwa hiari, Mungu ambaye maskani yake yako Yerusalemu,

  17. Amós 8

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 6 de 14

    6mkiwanunua maskini kwa fedha,na wahitaji kwa jozi ya viatu,na mkiuza hata takataka za nganopamoja na ngano.

  18. Ester 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 9 de 15

    9Kama inampendeza mfalme, itolewe amri kuwaangamiza, nami nitaweka talanta 10,0003:9 Talanta 10,000 za fedha ni sawa na tani 340. za fedha katika hazina ya mfalme kwa ajili ya watu watakaoshughulikia jambo hili."

  19. Josué 7

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 21 de 26

    21Nilipoona katika nyara joho zuri la kutoka Babeli, shekeli mia mbili7:21 Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3. za fedha, na kabari ya dhahabu ya uzito wa shekeli hamsini,7:21 Shekeli 50 ni sawa na gramu 600. nikavitamani na nikavichukua. Tazama, vimefichwa ardhini ndani ya hema langu, pamoja na hiyo fedha chini yake."

  20. Zacarias 11

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 11
    Mostrando versículo 9 de 17

    9nikasema, "Sitakuwa mchungaji wenu. Waache wanaokufa wafe na wanaoangamia waangamie. Wale waliobakia kila mmoja na ale nyama ya mwenzake."

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo