2Siku ya kwanza ya kila juma, kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha, kulingana na mapato yake na fedha hizo aziweke akiba, ili nitakapokuja pasiwe na lazima ya kufanya mchango.
Resultados da busca por "fé"
114 resultados encontrados
- Capítulo 16
1 Coríntios 16
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 2 de 24 - Capítulo 6
1 Timóteo 6
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 10 de 2110Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.
- Capítulo 4
Filipenses 4
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 5–23 de 235Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
20Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.
23Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
- Capítulo 16
Êxodo 16
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 11–36 de 3611Bwana akamwambia Mose,
36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.16:36 Efa moja ni sawa na kilo 22.)
- Capítulo 5
1 Tessalonicenses 5
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 16–28 de 2816Furahini siku zote;
17ombeni bila kukoma;
28Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. Amen.
- Capítulo 45
Ezequiel 45
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 10–13 de 2510Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa45:10 Efa ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vikavu ambacho ni sawa na omeri 10; efa 1 ni sawa na kilo 22. na bathi.45:10 Bathi ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vya humiminika ambacho ni sawa na 1/10 ya homeri; homeri 1 ni bathi 10 au efa 10.
11Efa na bathi viwe sawa, bathi iwe sehemu ya kumi ya homeri na efa iwe sehemu ya kumi ya homeri, homeri itakuwa ndicho kiwango cha kukubalika kwa vyote viwili.
13" ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano na moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.
- Capítulo 1
Filemom 1
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 2–25 de 252kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako:
23Epafra, aliye mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu, anakusalimu.
25Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
- Capítulo 5
Deuteronômio 5
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 25 de 3325Lakini sasa, kwa nini tufe? Moto huu mkubwa utatuteketeza sisi na tutakufa kama tukiendelea kusikia sauti ya Bwana Mungu wetu zaidi.
- Capítulo 3
2 Tessalonicenses 3
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 8–18 de 188wala hatukula chakula cha mtu yeyote pasipo kukilipia. Badala yake tulifanya kazi kwa bidii usiku na mchana, ili tusimlemee mtu yeyote miongoni mwenu.
11Kwa kuwa tunasikia kwamba baadhi ya watu miongoni mwenu ni wavivu. Hawafanyi kazi bali hujishughulisha na mambo ya wengine.
18Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.
- Capítulo 4
2 Timóteo 4
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 12 de 2212Nimemtuma Tikiko huko Efeso.
- Capítulo 6
Efésios 6
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 20–24 de 2420ambayo mimi ni balozi wake katika vifungo. Ombeni ili nipate kuhubiri kwa ujasiri kama inipasavyo.
23Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo.
24Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo wa dhati. Amen.
- Capítulo 10
Deuteronômio 10
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 18–20 de 2218Huwapigania yatima na wajane, humpenda mgeni, akimpa chakula na mavazi.
19Nanyi wapendeni wageni, kwa kuwa ninyi wenyewe mlikuwa wageni huko Misri.
20Mche Bwana Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.
- Capítulo 24
Provérbios 24
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 3–26 de 343Kwa hekima nyumba hujengwa,nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa
4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwavitu vya thamani na vya kupendeza.
26Jawabu la uaminifuni kama busu la midomoni.
- Capítulo 12
Josué 12
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 8 de 248nchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):
- Capítulo 4
1 Coríntios 4
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 2–21 de 212Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.
15Hata kama mnao walimu 10,000 katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili.
21Ninyi amueni. Je, nije kwenu na fimbo, au nije kwa upendo na kwa roho ya upole?
- Capítulo 13
2 Coríntios 13
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículos 5–14 de 145Jichunguzeni wenyewe mwone kama mnaishi katika imani. Jipimeni wenyewe. Je, hamtambui ya kuwa Yesu Kristo yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi, mmeshindwa kufikia kipimo hicho!
11Hatimaye, ndugu zangu, kwaherini. Kuweni wakamilifu, mkafarijike, kuweni wa nia moja, kaeni kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
14Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen.
- Capítulo 13
Provérbios 13
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 5 de 255Mwenye haki huchukia uongo,bali waovu huleta aibu na fedheha.
- Capítulo 24
Atos 24
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 2 de 272Paulo alipoitwa aingie ndani, Tertulo akaanza kutoa mashtaka akisema, "Mtukufu Feliksi, kwa muda mrefu tumefurahia amani na matengenezo mengi mazuri yamefanywa kwa ajili ya watu hawa kwa sababu ya upeo wako wa kuona mambo ya mbele.
- Capítulo 25
Atos 25
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 1 de 271Siku tatu baada ya Festo kuwasili Kaisaria kuchukua wajibu wake mpya, alipanda kwenda Yerusalemu,
- Capítulo 44
Salmos 44
Toleo Wazi la Neno: Biblia TakatifuMostrando versículo 12 de 2612Umewauza watu wako kwa fedha kidogo,wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao.