2Hata hivyo yeye pia ana hekima na anaweza kuleta maafa,wala hayatangui maneno yake.Yeye atainuka dhidi ya nyumba ya mwovu,dhidi ya wale ambao huwasaidia watenda mabaya.
3Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu,farasi wao ni nyama, wala si roho.Wakati Bwana atakaponyoosha Mkono wake,yeye anayesaidia atajikwaa,naye anayesaidiwa ataanguka,wote wawili wataangamia pamoja.
6Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana.