Pular para o conteúdo
Publicidade

Wakolosai 2:2,3

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

2 Kusudi langu ni watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu mkamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani, Kristo mwenyewe, 3 ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    2 Kusudi langu ni watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu mkamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani Al-Masihi, 3 ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    2 Kol 1:26;Efe 3:18ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo; 3 Isa 45:3;Mit 2:3,4;Efe 3:19;1 Kor 1:24,30ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Colossenses
Ver todos os capítulos de Colossenses