Pular para o conteúdo
Publicidade

Ezra 10:11

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

11 Sasa tubuni kwa Bwana, Mungu wa baba zenu mkafanye mapenzi yake. Jitengeni na mataifa wanaowazunguka na wake zenu wa kigeni."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    11 Sasa tubuni kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zenu, mkafanye mapenzi yake. Jitengeni na mataifa wanaowazunguka na wake zenu wa kigeni."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    11 Mit 28:13;Yer 3:13;Isa 1:16,17;Rum 12:2Sasa basi, ungameni mbele za BWANA, Mungu wa baba zenu, mkatende alipendalo; mkajitenge na watu wa nchi, tena na wanawake wageni.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.