21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo.
Mafundisho Kuhusu Wake Na Waume
22 Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.
25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake 28 Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 33 Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.