Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 5:21,22,25,28,33

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kutokana na kumcha Al-Masihi.

Mafundisho kuhusu wake na waume

22 Ninyi wake, watiini waume zenu kama vile mnavyomtii Bwana Isa.

25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Al-Masihi alivyoipenda jumuiya ya waumini na akajitoa kwa ajili yake, 28 Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 33 Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    21 1 Pet 5:5Hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo.

    22 Kol 3:18;1 Pet 3:1;Mwa 3:16Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.

    25 Kol 3:19;1 Pet 3:7Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 33 Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo.

    22 Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.

    25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake 28 Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 33 Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.