20 Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza. 21 Miriamu akawaimbia:
"Mwimbieni Bwana,
kwa maana ametukuka sana.
Farasi na mpanda farasi
amewatosa baharini."
20 Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza. 21 Miriamu akawaimbia:
"Mwimbieni Bwana,
kwa maana ametukuka sana.
Farasi na mpanda farasi
amewatosa baharini."
20 Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Haruni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza. 21 Miriamu akawaimbia:
"Mwimbieni Mwenyezi Mungu,
kwa maana ametukuka sana.
Farasi na mpanda farasi
amewatosa baharini."
20 Amu 11:34;21:21;1 Nya 15:16;1 Sam 18:6;Zab 68:25;81:2;Yer 31:4Na Miriamu, nabii mwanamke, dada yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza. 21 Miriamu akawaitikia,
Mwimbieni BWANA kwa maana ametukuka sana;
Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.