Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 25:10,16-18,21

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

10 "Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu,25:10 Dhiraa mbili na nusu ni sawa na sentimita 112.5. upana wa dhiraa moja na nusu,25:10 Dhiraa moja na nusu ni sawa na sentimita 67.5. na kimo cha dhiraa moja na nusu. 16 Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa.

17 "Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu. 18 Tengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko. 21 Weka huo Ushuhuda nitakaokupa ndani ya hilo Sanduku la Agano, na uweke hicho kifuniko juu ya hilo Sanduku.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    10 "Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu25:10 Dhiraa mbili na nusu ni sawa na sentimita 112.5., upana wa dhiraa moja na nusu25:10 Dhiraa moja na nusu ni sawa na sentimita 67.5., na kimo cha dhiraa moja na nusu. 16 Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa.

    17 "Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu. 18 Tengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko. 21 Weka huo Ushuhuda nitakaokupa ndani ya hilo Sanduku la Agano, na uweke hicho kifuniko juu ya hilo Sanduku.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    10 Kut 37:1;Kum 10:3;Ebr 9:4Nao na wafanye sanduku la mti wa mjohoro; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa25:10 Ni urefu wa kutoka kiwiko cha mkono hadi ncha ya kidole kirefu. moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu. 16 Kut 16:34;31:18;40:20;Kum 10:2;31:26;1 Fal 8:9;2 Fal 11:12Kisha tia ndani ya sanduku huo ushuhuda nitakaokupa. 17 Ebr 9:5;Kut 37:6;Rum 3:25Nawe fanya kiti cha rehema25:17 Agano au ‘kifuniko’. cha dhahabu safi; urefu wake utakuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu. 18 Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku. 21 Kut 26:34;40:20Weka kiti cha rehema juu ya hilo sanduku, kisha utie huo ushuhuda nitakaokupa ndani ya sanduku.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.