Sanduku la Agano
10 Kut 37:1;Kum 10:3;Ebr 9:4Nao na wafanye sanduku la mti wa mjohoro; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa25:10 Ni urefu wa kutoka kiwiko cha mkono hadi ncha ya kidole kirefu. moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu. 16 Kut 16:34;31:18;40:20;Kum 10:2;31:26;1 Fal 8:9;2 Fal 11:12Kisha tia ndani ya sanduku huo ushuhuda nitakaokupa. 17 Ebr 9:5;Kut 37:6;Rum 3:25Nawe fanya kiti cha rehema25:17 Agano au ‘kifuniko’. cha dhahabu safi; urefu wake utakuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu. 18 Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku. 21 Kut 26:34;40:20Weka kiti cha rehema juu ya hilo sanduku, kisha utie huo ushuhuda nitakaokupa ndani ya sanduku.