9 Tengeneza hema hili na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonyesha.
Sanduku La Agano
(Kutoka 37:1-9)
40 Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.
9 Tengeneza hema hili na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonyesha.
(Kutoka 37:1-9)
40 Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.
9 Tengeneza Maskani25:9 hema takatifu lililoambatana na vitu vilivyotumika katika ibada za Kiyahudi kabla ya kujengwa kwa Hekalu la Sulemani hii na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonesha.
40 Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano uliooneshwa kule mlimani.
9 Sawasawa na haya yote nikuoneshayo, mfano wa maskani, na mfano wa samani zake zote, ndivyo mtakavyovifanya.
40 Mdo 7:44;Ebr 8:5;Kut 26:30;Hes 8:4;1 Nya 28:11,19Nawe angalia ya kwamba uvifanye kama mfano wake, uliooneshwa mlimani.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.