9 Tengeneza Maskani25:9 hema takatifu lililoambatana na vitu vilivyotumika katika ibada za Kiyahudi kabla ya kujengwa kwa Hekalu la Sulemani hii na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonesha.
Sanduku la Agano
(Kutoka 37:1-9)
40 Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano uliooneshwa kule mlimani.