Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 3

10 Basi, sasa nenda. Ninakutuma kwa Farao ili kuwatoa watu wangu Waisraeli kutoka Misri."

11 Lakini Mose akamwambia Mungu, "Mimi ni nani hata niende kwa Farao kuwatoa Waisraeli nchini Misri?"

12 Naye Mungu akasema, "Mimi nitakuwa pamoja nawe. Hii itakuwa ishara kwako kwamba ni Mimi nimekutuma: Hapo utakapokuwa umewatoa watu Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também