5 wakaja na kumwambia Mose, "Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo Bwana ameagiza ifanyike."
6 Ndipo Mose akatoa agizo, nao wakapeleka neno hili katika kambi yote: "Mtu yeyote mwanaume au mwanamke asilete tena kitu chochote kwa ajili ya sadaka ya mahali patakatifu." Hivyo watu wakazuiliwa kuleta zaidi, 7 kwa sababu walivyokuwa navyo tayari vilitosha na kuzidi kuifanya kazi yote.
Maskani Ya Mungu
(Kutoka 26:1-37)