Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 36:5-7

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

5 wakaja na kumwambia Musa, "Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo Mwenyezi Mungu ameagiza ifanyike."

6 Ndipo Musa akatoa agizo, nao wakapeleka neno hili katika kambi yote: "Mwanaume au mwanamke yeyote asilete tena kitu chochote kwa ajili ya sadaka ya mahali patakatifu." Hivyo watu wakazuiliwa kuleta zaidi, 7 kwa sababu walivyokuwa navyo tayari vilitosha na kuzidi kuifanya kazi yote.

Maskani ya Mungu

(Kutoka 26:1-37)

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    5 2 Kor 8:2,3nao wakasema na Musa, na kumwambia, Watu waleta vitu vingi sana zaidi ya hivyo vitoshavyo kwa ajili ya utumishi wa hiyo kazi, ambayo BWANA aliagiza ifanywe. 6 Basi Musa akatoa amri, nao wakatangaza mbiu katika kambi yote, wakisema, Wasifanye kazi tena, mwanamume wala mwanamke, kwa ajili ya matoleo kwa mahali patakatifu. Basi watu wakazuiwa wasilete tena. 7 Kwani vile vitu walivyokuwa navyo vilikuwa vyatosha kwa kuifanya kazi hiyo yote, kisha vilizidi.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    5 wakaja na kumwambia Mose, "Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo Bwana ameagiza ifanyike."

    6 Ndipo Mose akatoa agizo, nao wakapeleka neno hili katika kambi yote: "Mtu yeyote mwanaume au mwanamke asilete tena kitu chochote kwa ajili ya sadaka ya mahali patakatifu." Hivyo watu wakazuiliwa kuleta zaidi, 7 kwa sababu walivyokuwa navyo tayari vilitosha na kuzidi kuifanya kazi yote.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.