Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 4:22,23

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

22 Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza, 23 nami nilikuambia, "Ruhusu mwanangu aondoke, ili aweze kuniabudu mimi." Lakini ukakataa kumruhusu kwenda, basi nitaua mwana wako mzaliwa wa kwanza.’ "

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    22 Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza, 23 nami nilikuambia, "Ruhusu mwanangu aondoke, ili aweze kuniabudu mimi." Lakini ukakataa kumruhusu aende; basi nitaua mwana wako mzaliwa wa kwanza.’ "

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    22 Hos 11:1;Rum 9:4;2 Kor 6:18;Yer 31:9;Yak 1:18Nawe umwambie Farao, BWANA asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu; 23 Kut 11:5;12:29nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.