22 Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza, 23 nami nilikuambia, "Ruhusu mwanangu aondoke, ili aweze kuniabudu mimi." Lakini ukakataa kumruhusu aende; basi nitaua mwana wako mzaliwa wa kwanza.’ "
Publicidade
Kutoka 4:22,23
ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
Em outras traduções
- SRUV Swahili Revised Union Version
22 Hos 11:1;Rum 9:4;2 Kor 6:18;Yer 31:9;Yak 1:18Nawe umwambie Farao, BWANA asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu; 23 Kut 11:5;12:29nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
22 Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza, 23 nami nilikuambia, "Ruhusu mwanangu aondoke, ili aweze kuniabudu mimi." Lakini ukakataa kumruhusu kwenda, basi nitaua mwana wako mzaliwa wa kwanza.’ "
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.