Pular para o conteúdo
Publicidade

Wagalatia 1:15-18

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

15 Lakini ilipompendeza Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu na kuniita kwa neema yake, 16 alimdhihirisha Mwanawe kwangu, ili nipate kumhubiri miongoni mwa watu wa Mataifa. Mimi sikushauriana na mwanadamu yeyote, 17 wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski.

18 Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa1:18 Yaani Petro. na nilikaa naye siku kumi na tano.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    15 Lakini ilipompendeza Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu na kuniita kwa neema yake, 16 alimdhihirisha Mwanawe kwangu, ili nipate kumhubiri miongoni mwa watu wa Mataifa. Mimi sikushauriana na mwanadamu yeyote, 17 wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilienda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski.

    18 Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa1:18 yaani Petro na nilikaa naye siku kumi na tano.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    15 Mdo 9:3-6;22:6-10;26:13-18Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake, Rum 1:1;Yer 1:5;Isa 49:116 Gal 2:7;Mt 16:17alipoona vema kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu, ili niwahubirie Mataifa habari zake; mara sikufanya shauri na watu wenye mwili na damu; 17 wala sikupanda kwenda Yerusalemu kwa hao waliokuwa mitume kabla yangu; bali nilikwenda zangu Arabuni, kisha nikarudi tena Dameski.

    18 Mdo 9:26-30Kisha, baada ya miaka mitatu, nilipanda kwenda Yerusalemu ili nionane na Kefa, nikakaa kwake siku kumi na tano.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.