15 Mdo 9:3-6;22:6-10;26:13-18Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake, Rum 1:1;Yer 1:5;Isa 49:116 Gal 2:7;Mt 16:17alipoona vema kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu, ili niwahubirie Mataifa habari zake; mara sikufanya shauri na watu wenye mwili na damu; 17 wala sikupanda kwenda Yerusalemu kwa hao waliokuwa mitume kabla yangu; bali nilikwenda zangu Arabuni, kisha nikarudi tena Dameski.
18 Mdo 9:26-30Kisha, baada ya miaka mitatu, nilipanda kwenda Yerusalemu ili nionane na Kefa, nikakaa kwake siku kumi na tano.