Pular para o conteúdo
Publicidade

Wagalatia 3:6-9

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Kama vile "Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki." 7 Fahamuni basi kwamba wale walio na imani, hao ndio watoto wa Abrahamu. 8 Maandiko yakitabiri kwamba Mungu angewahesabia haki watu wa Mataifa kwa imani, alitangulia kumtangazia Abrahamu Injili akisema kwamba, "Kwa kupitia kwako mataifa yote yatabarikiwa." 9 Kwa sababu hii, wale wote wanaoamini wanabarikiwa pamoja na Abrahamu, mtu wa imani.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Kama vile "Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki."

    7 Fahamuni basi kwamba wale walio na imani, hao ndio watoto wa Ibrahimu. 8 Andiko liliona tangu awali kwamba Mungu angewahesabia haki watu wa Mataifa kwa imani, hivyo likatangulia kumtangazia Ibrahimu Injili, likisema kwamba, "Kupitia kwako mataifa yote yatabarikiwa." 9 Kwa sababu hii, wale wote wanaoamini wanabarikiwa pamoja na Ibrahimu, mtu wa imani.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Mwa 15:6;Rum 4:3Kama vile Abrahamu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.

    7 Rum 4:16Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Abrahamu. 8 Mwa 12:3;18:18;Mdo 3:25Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiria Abrahamu Habari Njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa. 9 Rum 4:16Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Abrahamu aliyekuwa mwenye imani.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.