Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 22:1,2,12

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

Kujua Uthabiti Wa Abrahamu

1 Baadaye Mungu akamjaribu Abrahamu. Akamwambia, "Abrahamu!"

Abrahamu akajibu, "Mimi hapa."

2 Kisha Mungu akamwambia, "Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, Isaki umpendaye, uende katika nchi ya Moria. Mtoe huko kama sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia."

12 Akamwambia, "Usimdhuru kijana, wala usimtendee jambo lolote. Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwa sababu hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Baadaye Mungu akamjaribu Ibrahimu. Akamwambia, "Ibrahimu!"

    Ibrahimu akamjibu, "Mimi hapa."

    2 Kisha Mungu akamwambia, "Mchukue mwanao, mwana wako wa pekee umpendaye, Isaka, uende nchi ya Moria. Mtoe kama sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima nitakaokuambia."

    12 Akamwambia, "Usimdhuru kijana, wala usimtendee jambo. Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwa sababu hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    1 Ebr 11:17-19;Yak 1:12-14Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Abrahamu, akamwambia, Ee Abrahamu! Naye akasema, Mimi hapa. 2 2 Nya 3:1;Yn 3:16Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia. 12 1 Sam 15:22;Mwa 26:5;Rum 8:32;Yak 2:22Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, kwa kuwa hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.