Kujua uthabiti wa Ibrahimu
1 Baadaye Mungu akamjaribu Ibrahimu. Akamwambia, "Ibrahimu!"
Ibrahimu akamjibu, "Mimi hapa."
2 Kisha Mungu akamwambia, "Mchukue mwanao, mwana wako wa pekee umpendaye, Isaka, uende nchi ya Moria. Mtoe kama sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima nitakaokuambia."
12 Akamwambia, "Usimdhuru kijana, wala usimtendee jambo. Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwa sababu hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee."