Maombi Ya Yona Katika Tumbo La Nyangumi
1 Akiwa ndani ya tumbo la nyangumi, Yona alimwomba Bwana Mungu wake. 2 Akasema:
"Katika shida yangu nalimwita Bwana,
naye akanijibu.
Kutoka kina cha kaburi2:2 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. niliomba msaada,
nawe ukasikiliza kilio changu.