Maombi ya Yona na kuokolewa
1 Akiwa ndani ya tumbo la samaki, Yona alimwomba Mwenyezi Mungu, Mungu wake. 2 Akasema:
"Katika shida yangu nalimwita Mwenyezi Mungu,
naye akanijibu.
Kutoka kina cha kaburi2:2 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu; kwa Kiebrania ni Sheol. niliomba msaada,
nawe ukasikiliza kilio changu.