Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 13:34,35

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

34 "Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane. 35 Kama mkipendana ninyi kwa ninyi, kwa njia hii, watu wote watajua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    34 "Amri mpya nawapa: Mpendane. Kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane. 35 Mkipendana ninyi kwa ninyi kwa njia hii, watu wote watajua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    34 Yn 15:12,13,17;Yn 3:23;2 Yoh 1:5;1 Yoh 2:8,10Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. 35 Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.