34 Yn 15:12,13,17;Yn 3:23;2 Yoh 1:5;1 Yoh 2:8,10Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. 35 Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
Publicidade

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.