Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 21:17

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

17 Kwa mara ya tatu Yesu akamuuliza Petro, "Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?"

Petro akahuzunika sana kwa kuwa Yesu alimuuliza mara ya tatu, "Unanipenda?" Akamjibu, "Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda."

Yesu akamwambia, "Lisha kondoo wangu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    17 Kwa mara ya tatu Isa akamuuliza Petro, "Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?"

    Petro akahuzunika sana kwa kuwa Isa alimuuliza mara ya tatu, "Unanipenda?" Akamjibu, "Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda."

    Isa akamwambia, "Lisha kondoo wangu.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    17 Yn 13:38;16:30Akamwambia mara ya tatu, Simoni wa Yohana, wanipenda? Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu, Wanipenda? Akamwambia, Bwana, wewe wajua yote; wewe umetambua ya kuwa nakupenda. Yesu akamwambia, Lisha kondoo wangu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.