Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 21

17 Kwa mara ya tatu Isa akamuuliza Petro, "Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?"

Petro akahuzunika sana kwa kuwa Isa alimuuliza mara ya tatu, "Unanipenda?" Akamjibu, "Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda."

Isa akamwambia, "Lisha kondoo wangu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também