33 "Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli
baada ya siku zile," asema Bwana.
"Nitaweka sheria yangu katika nia zao,
na kuiandika mioyoni mwao.
Nitakuwa Mungu wao,
nao watakuwa watu wangu.
33 "Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli
baada ya siku zile," asema Bwana.
"Nitaweka sheria yangu katika nia zao,
na kuiandika mioyoni mwao.
Nitakuwa Mungu wao,
nao watakuwa watu wangu.
33 "Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli
baada ya siku zile," asema Mwenyezi Mungu.
"Nitaweka sheria yangu katika nia zao,
na kuiandika mioyoni mwao.
Nitakuwa Mungu wao,
nao watakuwa watu wangu.
33 Yer 32:40;24:7;30:22;Zab 40:8;2 Kor 3:3;Ebr 10:16Bali agano hili ndilo nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile, asema BWANA; Nitatia sheria yangu ndani yao, na katika mioyo yao nitaiandika; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.