Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 10

Mfano Wa Msamaria Mwema

25 Wakati huo mtaalamu mmoja wa sheria alisimama ili kumjaribu Yesu, akamuuliza, "Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?"

26 Yesu akamjibu, "Imeandikwaje katika Sheria? Kwani unasoma nini humo?"

27 Akajibu, " Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; tena, Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ "

28 Yesu akamwambia, "Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também