Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 12:29-31

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

29 Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. 30 Watu wa mataifa ya duniani husumbuka sana kuhusu vitu hivi vyote, lakini Baba yenu anafahamu kuwa mnahitaji haya yote. 31 Bali utafuteni Ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia.

Utajiri Wa Mbinguni

(Mathayo 6:19-21)

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    29 Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. 30 Watu wa mataifa ya duniani husumbuka sana kuhusu vitu hivi vyote, lakini Baba12:30 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. Kwa mwanadamu, Mwenyezi Mungu ni Baba kupitia uhusiano unaopatikana katika kumtumaini Isa Al-Masihi. yenu anafahamu kuwa mnahitaji haya yote. 31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    29 Ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa; wala msiwe na wasiwasi, 30 kwa maana, hayo yote ndiyo watafutayo mataifa ya duniani, lakini Baba yenu anajua ya kuwa mna haja na hayo. 31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.