Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 14:26

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

26 "Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    26 "Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    26 Mt 10:37,38Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wa kiume na wa kike; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. Mt 10:37;Kum 33:9,10;Lk 18:29,30;Yn 12:25

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.