Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 14:1,2

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

Shauri La Kumuua Yesu

1 Zilikuwa zimebaki siku mbili tu kabla ya Sikukuu ya Pasaka, na Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu. Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumkamata Yesu kwa hila na kumuua. 2 Lakini walisema, "Tusilifanye jambo hili wakati wa Sikukuu, maana watu wanaweza wakafanya ghasia."

Yesu Kupakwa Mafuta Huko Bethania

(Mathayo 26:6-13; Yohana 12:1-8)

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Zilikuwa zimebaki siku mbili tu kabla ya Sikukuu ya Pasaka14:1 Sherehe iliyowakumbusha Waisraeli jinsi Mwenyezi Mungu alivyowakomboa kutoka utumwani huko Misri., na Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu. Viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wakitafuta njia ya kumkamata Isa kwa hila na kumuua. 2 Lakini walisema, "Tusilifanye jambo hili wakati wa Sikukuu, maana watu wanaweza wakafanya ghasia."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    1 Mt 26:1-5;Lk 22:1-2Baada ya siku mbili ilikuwa sikukuu ya Pasaka, na mikate isiyochachwa; wakuu wa makuhani na waandishi wakatafuta njia ya kumkamata kwa hila na kumwua.Kut 12:1-272 Kwa maana walisema, Isiwe kwa wakati wa sikukuu, isije ikatokea ghasia katika watu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.