Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 6:14-16

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

14 Mfalme Herode akasikia habari hizi, kwa maana jina la Yesu lilikuwa limejulikana sana. Watu wengine walikuwa wakisema, "Yohana Mbatizaji amefufuliwa kutoka kwa wafu, ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake."

15 Wengine wakasema, "Yeye ni Eliya."

Nao wengine wakasema, "Yeye ni nabii, kama mmojawapo wa wale manabii wa zamani."

16 Lakini Herode aliposikia habari hizi, akasema, "Huyo ni Yohana Mbatizaji, niliyemkata kichwa, amefufuliwa kutoka kwa wafu!"

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    14 Mfalme Herode akasikia habari hizi, kwa maana jina la Isa lilikuwa limejulikana sana. Watu wengine walikuwa wakisema, "Yahya amefufuliwa kutoka kwa wafu, ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake."

    15 Wengine wakasema, "Yeye ni Ilya."

    Nao wengine wakasema, "Yeye ni nabii, kama mmoja wa manabii wa zamani."

    16 Lakini Herode aliposikia habari hizi, akasema, "Huyo ni Yahya, niliyemkata kichwa, amefufuliwa kutoka kwa wafu!"

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    14 Mt 16:14;Mk 8:28;Lk 9:19Naye Mfalme Herode akasikia habari; kwa maana jina lake lilikuwa limeenea, akasema, Yohana Mbatizaji amefufuka katika wafu, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake.Lk 3:19,2015 Wengine walisema, Ni Eliya. Wengine walisema, Huyu ni nabii, au ni kama mmoja wa manabii. 16 Lakini Herode aliposikia, alisema, Yohana, niliyemkata kichwa, amefufuka.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.