5 Hakufanya miujiza yoyote huko isipokuwa kuweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache na kuwaponya. 6 Naye akashangazwa sana kwa jinsi wasivyokuwa na imani.
Yesu Awatuma Wale Kumi Na Wawili
(Mathayo 10:5-15; Luka 9:1-6)
Kisha Yesu akawa anakwenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.