5 Hakufanya miujiza yoyote huko isipokuwa kuweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache na kuwaponya. 6 Naye akashangazwa sana kwa kutoamini kwao.
Isa awatuma wale kumi na wawili
(Mathayo 10:5-15; Luka 9:1-6)
Kisha Isa akawa anaenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.