Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 24

23 Wakati huo kama mtu yeyote akiwaambia, Tazama, Kristo huyu hapa!Au, Kristo yuko kule,msisadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa. 25 Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema.

26 "Kwa hiyo mtu yeyote akiwaambia, Yule kule nyikani,msiende huko. Au akisema, Yuko kwenye chumba,msisadiki.

Veja também