Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 26:33-35

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

33 Petro akajibu, "Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha."

34 Yesu akamjibu, "Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu."

35 Lakini Petro akasisitiza, "Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe." Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo.

Yesu Anaomba Gethsemane

(Marko 14:32-42; Luka 22:39-46)

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    33 Petro akajibu, "Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha."

    34 Isa akamjibu, "Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu."

    35 Lakini Petro akasisitiza, "Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe." Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    33 Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kamwe. 34 Yn 13:38Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara tatu. 35 Mt 26:56Petro akamwambia, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana kamwe. Na wanafunzi wote wakasema vivyo hivyo.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.