33 Petro akajibu, "Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha."
34 Isa akamjibu, "Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu."
35 Lakini Petro akasisitiza, "Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe." Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Isa aomba katika Bustani ya Gethsemane
(Marko 14:32-42; Luka 22:39-46)