Pular para o conteúdo
Publicidade

Nehemia 2

4 Mfalme akaniambia, "Je, haja yako ni gani?"

Ndipo nikaomba kwa Mungu wa mbinguni, 5 na nikamjibu mfalme, "Kama ikimpendeza mfalme, na kama mtumishi wako amepata kibali machoni pake, anitume kule mji wa Yuda, mahali baba zangu walipozikwa, ili niweze kuujenga upya."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também