Pular para o conteúdo
Publicidade

Zekaria 12

Kumwombolezea Yule Aliyechomwa Mkuki

10 "Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema12:10 Au: Roho wa neema. na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também