Pular para o conteúdo
Publicidade

Zekaria 4:10

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

10 "Ni nani anayeidharau siku ya mambo madogo? Watu watashangilia watakapoona timazi mkononi mwa Zerubabeli.

"(Hizi saba ni macho ya Bwana ambayo huzunguka duniani kote.)"

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    10 "Ni nani atakayeidharau siku ya mambo madogo? Macho saba ya Mwenyezi Mungu, yanayozunguka dunia yote, yatashangilia yatakapoona jiwe la juu kabisa likiwa mkononi mwa Zerubabeli!"

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    10 Hag 2:3;2 Nya 16:9;Ufu 5:6Maana yeyote aliyeidharau siku ya mambo madogo watafurahi, naye ataiona timazi ikiwa katika mkono wa Zerubabeli; naam, hizi taa4:10 Katika Kiebrania hakuna taa. saba ndizo macho ya BWANA; yanaona huku na huko duniani kote.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.