Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Mambo Ya Nyakati 16

34 Mshukuruni Mwenyezi Mungu kwa kuwa ni mwema;

fadhili zake zadumu milele.

35 Mlilieni, "Ee Mungu Mwokozi wetu, tuokoe.

Tukusanye tena na utukomboe kutoka kwa mataifa,

ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu,

na kushangilia katika sifa zako."

36 Atukuzwe Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli,

tangu milele na hata milele.

Nao watu wote wakasema, "Amen," na "Msifuni Mwenyezi Mungu."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também