11 Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Mwenyezi Mungu,
na utukufu na enzi na uzuri,
kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani
ni chako wewe.
Ee Mwenyezi Mungu, ufalme ni wako;
umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote.
11 Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Mwenyezi Mungu,
na utukufu na enzi na uzuri,
kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani
ni chako wewe.
Ee Mwenyezi Mungu, ufalme ni wako;
umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote.