Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Yohana 2:18

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

Onyo dhidi ya wanaompinga Al-Masihi

18 Watoto wadogo, huu ni wakati wa mwisho! Kama mlivyosikia kwamba anayempinga Al-Masihi anakuja, hivyo basi wanaompinga Al-Masihi wengi wamekwisha kuja. Kutokana na hili twajua kwamba huu ni wakati wa mwisho.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    18 Mt 24:5,24;1 Pet 4:7;1 Kor 10:11Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo tunajua ya kuwa ni wakati wa mwisho.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    18 Watoto wadogo, huu ni wakati wa mwisho! Kama mlivyosikia kwamba mpinga Kristo anakuja, hivyo basi wapinga Kristo wengi wamekwisha kuja. Kutokana na hili twajua kwamba huu ni wakati wa mwisho.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.